Department for Youth in Evangelism and Mission Ministries. Join us for spiritual teaching, hot choir, praise and worship, seminars, evangelism and outreach gospel and many issues which will keep you busy for Christ. Church located at Kijitonyama Sayansi behind COSTECH building.
Ujumbe wa Wiki
Isaya 40:30-31 Hata vijana watazimia na kuchoka, wanaume vijana wataanguka. bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka, watakwenda kwa miguu wala hawatazimia.
Wednesday, January 22, 2014
Kumbukumbu ya furaha kwa baba
Ilikuwa Jumapili yenye furaha pale baba Mchungaji David Mwakwenda alipotembelewa na dada na kaka yake.
Ilikuwa ni siku njema sana kwa Mchungaji na Kaka yake pia na Dada yake! Ni jambo jema ndugu wakae pamoja kwa umoja. Zab133:1-3
ReplyDelete