Ujumbe wa Wiki

Isaya 40:30-31
Hata vijana watazimia na kuchoka, wanaume vijana wataanguka. bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka, watakwenda kwa miguu wala hawatazimia.

Wednesday, January 22, 2014

Karibu

Bwana Yesu Asifiwe...
mpendwa ninayo furaha kukualika kwenye blogu yetu ya vijana wa Evanjelism & Mission Ministries. kama ilivyo wito wetu kuufikia ulimwengu mzima, tutawajibika kukupa taarifa za huduma za kanisa na matukio mbalimbali pamoja na habari mbalimbali z kiroho. Tunahitaji utuunge mkono kwa kupenda na kutoa maoni katika machapisho yetu kwani blogu hii itakuwa muhimu sana kwa vijana katika maisha ya kila siku ikiwa ni pamoja na kukabiliana na changamoto mbalimbali za kiroho kimwili.
karibu sana
Wako katika huduma
John Kimwaga
Mwenyekiti wa Vijana
Evangelism & Mission Ministries

No comments:

Post a Comment